Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi
wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha
maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015.
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta
wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa
Dodoma Machi 22, 2015.
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma, akifungua bomba la maji kama moja ya zoezi lililofanyika
wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta
wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa
Dodoma Machi 22, 2015.
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma, akinawa mikono yake kwa maji safi na salama wakati wa
kiongozi huyo akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha
Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji
Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015.
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma, akimtwisha ndoo ya maji bi. Asha Omary wa kijiji cha Mseta
Wilayani Kongwa mara baada ya kiongozi huyo kuweka jiwe la msingi la
mradi wa maji ulioanza kuhudumia wananchi kijijini hapo mapema jana
(Machi 22,2015) wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa
Dodoma.
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma, akiwasilisha hotuba yake ya kuhitimisha maadhimisho ya wiki
ya maji Mkoani Dodoma yaliyofanyika Kijiji cha Mseta Wilayani Kongwa
MACHI 22, 2015.
0 Responses so far.
Post a Comment