Leo tarehe 22.03.2015 Viongozi Waandamizi wa Tuzo ya Jamii
wapo safarini Kuelekea Bungeni Dodoma ambapo kati ya tarehe 23-24 March
2015 watakuwa wageni wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Katika ziara hiyo Viongozi hao watajifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bunge na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge
Walio katika Msafara
1.DJ Malegesi
2.Amani Mwaipaja
3.Sylvester N. Mayunga
4.Joan Msumi
5.Rachel Kassanda
1.DJ Malegesi
2.Amani Mwaipaja
3.Sylvester N. Mayunga
4.Joan Msumi
5.Rachel Kassanda
Viongozi wa Tuzo ya Jamii, Kushoto ni Dk. Mayunga na DJ Maregesi wakiwa katika viwanja vya Bunge leo Asubuhi. |
0 Responses so far.
Post a Comment