Jeneza liliobeba mwili wa marehemu.Marehemu Rajabu Tenga alikuwa pia mtumishi wa jeshi la polisi. (Usalama wa Raia). alifariki katika harakati za kuwaokoa wananchi na wanafunzi wenzake katika tukio la ujambazi lililohusisha kutupiana risasi kati ya majambazi na polisi.katika harakati hiyo ndipo jambazi moja lilipompiga risasi ya kichwa iliyopoteza maisha ya mwenzetu katika hospitali ya rufaa mbeya. (picha na Rayme A..K)
CCM YAMPITISHA NDEJEMBI KUA MAKAMU WA RAIS, NCHIMBI AVULIWA UANACHAMA CCM
-
*CHAMA cha Mapinduzi CCM kimependekeza jina la mwanachama wake Ndg.
Deogratius John Ndejembi kua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania. *
*A...
10 hours ago