Anaitwa
Remmy Williams, Mtanzania anayefanya muziki nchini Italy. Remmy Williams amefanya nyimbo
akiwashirikisha wasanii wa hapa Bongo ambao ni King Ruston, Moses Thomas& Mirror
Rhymes.
Nyimbo inaitwa AFRICA, imefanyika katika studio za Overclassic na video ya wimbo wa Africa imefanywa na Kampuni ya E-media chini mwongozaji NIck Dizo na
Sama.
Video ya wimbo wa Africa imefanywa katika viunga vya jijini Mwanza
photo
WASANII WETU
Kutokana na kuibuka kwa wimbi la wasanii kupiga picha za utupu,Msanii mwingine wa Bongo Movie ajulikanaye kwa jina la Baby Mapoz amepiga picha za utupu na kuzisambaza mtandaoni.
Habari kamili pamoja na picha hizo zitawajia hivi punde
photo
WASANII WETU
Moja ya Michoro maridadi ya Msanii Kijana anayefanya vizuri katika Fani ya Uchoraji Hassan Majeshi ndani na nje ya Tanzania.
photo
sanaa