Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Assumpta Maina Mallya
akizungumzia jinsi mfuko wa Pensheni wa PPF unavyoendeshwa katika
Mkutano wa 24 wa wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha
Meneja
Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw Selestine Some akizungumzia
jinsi mfuko wa Pensheni wa PPF unavyoweza kutumia michango ya wanachama
katika kulinda Michango.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akijadiliana jambo na
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Milton Makongoro Mahanga katika
Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha
Mdau
wa PPF akipitia jarida la PPF katika mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
AICC, Jijini Arusha
Wadau
wakifuatilia Mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa
PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa PPF Jijini Arusha
Wanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akiuliza swali katika Mkutano wa 24 wa
wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi
wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha
Wadau
wa NSSF wakifuatilia Mada katika mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC,
Jijini Arusha
Wanachama
na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakifuatilia Mada mbalimbali
zinazotolewa katika Mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
AICC, Jijini Arusha
Mdau
wa PPF akiuliza swali katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC,
Jijini Arusha
Meza Kuu
Mwanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akipitia Jarida la PPF katika mkutano mkuu
wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha.Picha zote
na Josephat Lukaza- Lukaza Blog Arusha
0 Responses so far.
Post a Comment