Mkurugenzi
kwa Walipakodi na Elimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Richard
Kayombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa kilele cha Maadhimisho ya nane
ya Siku ya Mlipa Kodi,yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.
Brass Band ya JWTZ ikitumbuiza kwenye Maadhimisho hayo wakati wa kuimba Wimbo wa Taifa.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akitoa hotuba yake
kwenye kilele cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli
mbiu isemayo "Risiti ni Haki Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni
Lazima Utoe Risiti",yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Bernard Mchomvu akitoa hotuba yake kwenye kilele
cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo
"Risiti ni Haki Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe
Risiti",yaliyofanyika Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Adam Malima akitoa nasaha zake kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni Haki
Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe
Risiti",yaliyofanyika Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akiteta jambo na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA),Bernard Mchomvu.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai
Nahodha akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho hayo
yaliyofanyika Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.
Sehemu
ya Wageni waalikwa kutoka nchi mbali mbali wakifatikia kwa makini
hotuba ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade
(hayupo pichani) aliyokuwa akiitoa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya
nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni Haki
Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe
Risiti",yaliyofanyika Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni,Mh. Yussuf Mwenda akiwa kwenye Mkutano huo wa
kilele cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu
isemayo "Risiti ni Haki Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni Lazima
Utoe Risiti",yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya akifatilia kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa Mkutanoni hapo.
Sehemu ya Wadau wa TRA wanaoongoza kwa Ulipaji Kodi wakiwa kwenye Mkutano huo.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiwa kwenye Mkutano huo wa kilele
cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo
"Risiti ni Haki Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe
Risiti",yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Wachekeshaji
wa Kundi la Orijino Komedi wakiwa ni sehemu ya waalikwa kwenye
Maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Novemba 21,kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Toka kulia ni
Seki,Masanja,Joti,LeProfeseli,Wakuvywanga na Mpoki.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala,Kamishna wa Polisi Msaidizi
Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki akifatilia jambo wakati wa Mkutano huo wa kilele
cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo
"Risiti ni Haki Yako,Unaponunu Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe
Risiti",yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
Wachekeshaji
wa Kundi la Orijino Komedi kwa nyakati tofauti wakitoa burudani kwa
washiriki wa Mkutano huo wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mlipa Kodi
yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.
MC Taji Liundi "Master T" akiwa kwenye tabasamu la nguvu kutokana na vichekesho vya Orijino Komedi.
Meza Kuu.
Massanja Mkandamizaji akimwaga maombi ya nguvu ukumbini hapo.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akitafakati jambo.
Mkutano ukiendelea.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akimpatia tuzo ya heshima Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya.
Washindi wa Tuzo mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai
Nahodha (kulia) amkimkabidhi Kombe na Cheti,Meneja wa Kodi wa Kampuni
ya Sigara Tanzania (TCC),Godfrey Ferdinand baada ya kuibuka washindi wa
tatu kwa Walipa Kodi hodari.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai
Nahodha (kulia) amkimkabidhi Kombe na Cheti,Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni
ya Vodacom Tanzania,Rene Meza baada ya kuibuka washindi wa pili (kati ya Watatu Bora) kwa Walipa Kodi hodari.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai
Nahodha (kulia) amkimkabidhi Kombe na Cheti,Meneja wa Huduma za Pamoja
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Alois Maleck Qande kwa kuibuka mshindi
wa kwanza (kati ya Watatu Bora) kwa Walipa Kodi hodari.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai
Nahodha (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Washiri watatu
wanaolipa kodi vizuri.Washindi hao ni TBL (kulia),Vodacom (pili kushoto)
na TCC (kushoto).
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho
ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai
Nahodha (kulia) akimkabidhi Kombe na Cheti,Mkurugenzi wa Fedha wa
Kampuni ya Tanzania Distilleries,Michael Brown (wa tatu kushoto) kwa
kuibuka washindi wa jumla kwa walipa kodi wote Tanzania.
Picha ya pamoja na Makamishna Mamlaka za Mapato za nchi mbali mbali Barani Afrika.
Picha ya Pamoja na Washindi mbali mbali.
0 Responses so far.
Post a Comment