Bi
Ritha Mushi (VSO Volunteer) akiongea na Vijana wenzake juu ya umuhimu wa
kujitolea katika kongamano la siku ya kujitolea duniani lililofanyika
jijini Dar es Salaam.
Bw.
Ian Tarimo anaejitolea katika Shirika lisilo la Kiserikali la Youth For
Change akiongea na Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za
kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya
kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Dr Ven
kutoka DFID akiwaasa vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali
za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya
kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel akiongea na vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za
kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya
kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kijana
akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shirika lisilo la Kiserikali la
JICA wakati wa kongamano la siku ya kujitolea lililofanyika jijini Dar
es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni Prof. Elisante Ole Gabriel wa
pili kutoka kulia akiongea na wanahabari katika maadhimisho ya siku ya
kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo,wa kwanza kulia
ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Volountary
Overseas (VSO) Dkt. Philip Goodwin.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel aliyevaa suti akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana
wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea wakati wa
maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam.