Rajabu Tenga -mwanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe kampas ya Mbeya ambaye amefariki jana jioni baada ya kupigwa risasi na majambazi waliovamia supa maket moja iliyoko jirani na chuo cha Mzumbe.
Taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani kwao Same zinafanyika.
Marehemu Tenga alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili- digrii ya sheria.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI................................
UJENZI BWAWA LA BILIONI 2 LAKAMILIKA.
-
Wananchi wa Kata ya Majengo, Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani
Rukwa, wanatarajia kunufaika na kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la maji la
Mwamba...
2 hours ago
0 Responses so far.
Post a Comment