Showing posts with label SHERIA. Show all posts
Showing posts with label SHERIA. Show all posts


 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi   kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe dkt John Eudes Ruhangisa kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Aqgosti 15, 2014
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Winfrida Beatrice Korosss kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
  Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Lillian Leonard Mashaka  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe David Eliadi Mrango  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Edson James Mkasimongwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Mohamed Rashid Gwae  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Firmin Nyanda Matogolo kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Leila Edith Mgonya  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Mhe Barke Mbaraka Aboud Sehel  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Awadh Mohamed  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Lugano Josiah Samson Mwandambo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Rose Ally Ebrahim kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Paul Faustin Kihwelo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014Rais
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Modesta Opiyo Makopolo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Amour Said Khamis kuwa  Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt  Mary Caroline Levira kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Salma Mussa Maghimbi  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete,  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda,  Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu,  Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue, Mwanasheria Mkuu Jaji  Frederick Werema, Mtendaji Mkuu wa Mahakama Mhe Hussein kattanga  katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama kuu ya Tanzania baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  Majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  Majaji wa Mahakama ya Kuu Tanzania na Majaji  wapya
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  majaji wapya 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi   Shaban Ally Lila wakiwa na Majaji wapya 
 Rais Kikwete na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro wakiwa wa wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanawake wapya
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi   Shaban Ally Lila wakiwa katika pic ha ya jumla na Majaji wapya na wa zamani 
Rais Kikwete akiongea na baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu baada ya shughuli ya kupiga picha. PICHA NA IKULU

photo , ,

Katika kuendeleza huduma ya Usaidizi wa Kisheria nchini Tanzania Mwanasheria Amani Mwaipaja amekuwa akiendesha vipindi vya Msaada wa Sheria Kwa njia ya Radio ambapo vipindi hivyo husikika live kupitia radio tatu tofauti za mkoani Morogoro ikiwemo Top Radio Fm- 99. 3 fm (Siku ya Jumatano Saa tatu Asubuhi), Radio Ukweli Fm 92.6 fm (Siku ya Jumatatu kuanzia saa tatu usiku na Radio Okoa Fm-106.2 fm (Siku ya Jumapili)

Picha ni Mwanasheria Amani Mwaipaja ambaye ni Mwasisi wa Blog hii akiwa na mwanadada Silvia Chilolo mara baada ya kumaliza kufanya kipindi cha Zijue Sheria ndani ya studio za Top Radio mjini Morogoro


photo


Moja ya kitabu kilichoandikwa na Mwanasheria Amani Mwaipaja ambaye ni Mwasisi wa Blog hii kikiwa kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili chepesi ili kumwezesha mwananchi wa kawaida kusoma na kuelewa haki mbalimbali alizo nazo.

Kitabu hiki ambacho kimeanza kusambazwa maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kinahitaji kufikishwa kila sehemu ya Tanzania ili kumsaidia mwananch wa kawaida katika kuifikia haki yake.

Kwa atakayehitaji kuwa wakala wa kitabu hiki ndani ya Tanzania anaombwa kuwasiliana na blog hii kwa mawasiliano yaliyopo hapo juu ili apewe utaratibu

photo

Mwanasheria Mshauri (Consultant) na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu nchini Tanzania Ndugu Amani Mwaipaja anatarajiwa kuzindua Rasmi Huduma yake ya Ushauri wa Kisheria kwa nji ya Simu ifikapo katikati ya Mwezi Agosti Mwaka Huu.

Akizungumza na timu ya Mwaipaja Blog Mwanasheria huyo amesema kuwa lengo la huduma hiyo ni kuweza kuisaidia zaidi jamii iishiyo pembezoni na ambayo imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo kwa kutembea umbali mrefu ikitafuta msaada wa kisheria.
Kupitia huduma hiyo, watu mbalimbali watakaokabiliwa na matatizo ya kisheria wataweza kupata ushauri wa kisheria na kupewa mwongozo kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa kuuliza swali au kuomba ufafanuzi.

Akielezea upatikanaji wa huduma hiyo ya ushauri wa kisheria kwa njia ya simu mwaipaja alieleza taratibu za kujiunga kwa kuandika neno mwaipaja (Acha Nafsi) kisha andika ujumbe wako alafu utume kwenda namba 15678.

Mwaipaja alitoa wito kwa wote wenye kuhitaji huduma hiyo kujiunga na huduma hiyo kuanzia sasa kwakuwa tayari huduma hiyo imeshaanza kufanya kazi.

photo

Wadau wakubwa wa blog hii, Advocate Berius Nyasebwa-Kushoto na Advocate Tundu Lisu ambaye pia ni Mbunge wa Singinda (Chadema) na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni wakiwa katika picha ya pamoja.Taifa letu bado linahitaji vijana mawakili na wanasheria wa kutosha watakaoweza kusaidia jamii kubwa ya kitanzania ambayo kwa sehemu kubwa haifahamu haki na sheria mbalimbali zinazowalinda katika maisha yao ya kila siku.


Advocate Berious Nyasebwa akiwa katika pozi mara baada ya kuukwaa uwakili.

photo