DKT. MWIGULU: TUWAWEZESHE WATANZANIA KUSHIKA UCHUMI WAO
-
▪️︎ Azindua Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Uwezeshaji Kiuchumi (NEMIS)
▪️︎ Ataka wigo wa miradi kwa Watanzania kupanuliwa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nche...
15 hours ago

Mimi nilitaka nimuone mwili mzima.
WEWE ULITAKA UONE MWILI MZIMA MPAKA WAPI MZEE?HAPO TU UTAMU WOTE UNAONEKA....HII KWELI HAIKUBALIKI...BIG UP MWAIPAJA KWA KUANZISHA MIJADALA KAMA HII....
NIAMINI KWELI MITANDAO INASAIDIA KUFICHUA MAOVU....WABONGO MLIIPATA HII?HAYA NDIYO MAMBO YA DUNIANI...UKISTAAJABU YA MUSA.....
Uyu dada kama kichaa vile mbona wenzie sio ivyo jamani?Au ameshauguaga ukichaaaaaaaa?Nisaidieni na muwe na uwakika.Ni hayo tu.
Acha ushamba wewe yaani hiyo nusu tu unawaka je ingekuwamwili mzima ungesemaje?yaani hata kama una picha ya raisi mstaafu kapiga hivyo ibandike tu kaka kila mtu ana mwili wake wala usiogope
Acheni ujinga nyie kaka zetu! Tatizo la hiyo picha ninini? Shame on you guys!!