MAJIKO YA GESI 3,255 KUTOLEWA KWA BEI YA RUZUKU LONGIDO
-
-Wananchi wamshukuru Rais Samia
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza usambazaji wa
majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya ruzuku...
1 hour ago
Kujishika tama huku ni kwa kutoka moyoni ama ni kutokana na shinikizo mara nyingi binadamu tunajuta baada ya kutenda na si kujuta kabla ya kutenda,Ila nashukuru tu kwamba jamaa ameonesha mfano kwa kukubali kauchia ngazi kutoakana na kashifa,Viongozi wangapi leo wanakubali kufanya hivi wanataka tu waendelee kurudisha nyuma maendeleo kwa kujinufaisha wenyewe na kufanya ufuska
inaonekana hapo mzee alikuwa kwenye bahari ya mawazo...kuutema urais wakati bado unaupenda sio kazi rahisi
big maduhu kwa kujiunga na kijiji hiki