Basi la kampuni ya ABOOD BUS likiwa limepinduka katika eneo la mkambarani siku ya jumatano alfajili ya saa kumi na
moja na kujeruhi watu na kukimbizwa hospitali ya mkoa wa Morogoro, hakuna
mtu aliepoteza maisha katika ajali hiyo.
ILA NYIE CCM NI NOMA SANA, YAANI UBAYA UBWELA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NILIKUWA Najiongelesha tu kichwani kuhusu hii CCM basi nikajikuta nacheka
tu,ndio kununa siwezi. CCM kwa jinsi walivyo ha...
JUMIA YATOA SAMSUNG S9 NA S9+ KWA WATEJA WAKE
-
Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Bw. Zadok Prescott , akimkabidhi simu ya
Samsung Galaxy S9, mteja Happiness Keto aliyoinunua simu hiyo kwa shilingi
5...
0 Responses so far.
Post a Comment