Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania
watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.Leo asubuhi
basi la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda
mnadani singida baada ya basi hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua
watu watatu Hapo hapo.
JASI YATIKISA SAME
-
*Na Mwandishi Wetu, Same*
*SHUGHULI za uchimbaji wa madini ya Jasi katika vijiji vya Ruvu Jiungeni na
Makanya, wilayani Same mkoani Kilimanjaro, zimee...
NYAVU HARAMU ZANASWA CHATO, WAZIRI ATOA MAELEKEZO.
-
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetangaza azma ya kuanzisha
chombo maalum kitakachosimamia rasilimali za uvuvi, lengo likiwa ni kulinda
mazao...
JUMIA YATOA SAMSUNG S9 NA S9+ KWA WATEJA WAKE
-
Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Bw. Zadok Prescott , akimkabidhi simu ya
Samsung Galaxy S9, mteja Happiness Keto aliyoinunua simu hiyo kwa shilingi
5...
0 Responses so far.
Post a Comment