eneo
la ujenzi wa tuta la barabara ya kuingilia kwenye Kivuko cha Kilombero
ambayo imebomolewa na maji ya mafuriko ya mvua na kusababisha magari
kushindwa kupita eneo hilo ambalo lina urefu wa mita 65 na kipande
kikubwa kubwa ni mita 30 kama walivyokutwa Mei 5, 2014 eneo hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akijiangaa kuingia kwenye boti.
Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( wa kwanza
mbele kulia) akiwa ndani ya boti na baadhi ya viongozi wa serikali ya
Mkoa wa Morogoro na wilaya za Kilombero na Ulanga, mei 5, 2014,
kuelekea eneo la upande wa pili wa Ulanga.
Eneo hilo likiwa limejaa maji yatokanayo na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja
wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto )
akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto Kilombero mei 5, mwaka
huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya
Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ndani ya boti.
Wananchi wa Kilombero wakiwasafiri kwa kutumia boti baada ya barabara kuharibika.
Baadhi ya wafanyakazi wa ya ujenzi ya Kampuni ya China Railyway 15
Bureau Group Corporation, wakiwa eneo la ujenzi wa tuta la barabara ya
kuingilia kwenye Kivuko cha Kilombero ambayo imebomolewa na maji ya
mafuriko ya mvua na kusababisha magari kushindwa kupita eneo hilo ambalo
lina urefu wa mita 65 na kipande kikubwa kubwa ni mita 30 kama
walivyokutwa Mei 5, 2014 eneo hilo.(Picha na John Nditi).
photo
MATUKIO
,
MIUNDOMBINU
0 Responses so far.
Post a Comment