DAR ES SALAAM:WAJUMBE
WA TUZO YA JAMII WATEMBELEA UKUMBI KUTAKAKOFANYIKA UTOAJI WA TUZO HIYO
MWAKA HUU
Ndani ya Ukumbi kutakakofanyika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Jamii
Wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya Tuzo ya Jamii ndani ya ukumbi.
Katibu wa Tuzo ya Jamii Amani Theophilas Mwaipaja akisisitiza jambo
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo ya Jamii DJ Malegesi akiwa na
Mhandisi Sylvester Mayunga (Mjumbe)
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo ya Jamii itayotolewa
Aprili 13 mwaka huu wametembelea katika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Center (JNICC) ambako kutafanyika hafla ya
utoaji wa Tuzo hiyo.
Tuzo hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Tanzania Awards International
Limited itakuwa katika kipengele cha Tuzo ya Jamii ya heshima
itakayotolewa kwa Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania Hayati Baba wa
Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Hayati
Nelson Mandela.
Pamoja na Tuzo hiyo ya heshima pia itatolewa Tuzo ya Haki za binadamu
ambapo mshindi atatangazwa siku hiyo, Tuzo kwa mwanasiasa kijana na
mwanasiasa mtu mzima mwenye mafanikio katika siasa za Tanzania.
Washindi wa siasa watapatikana baada ya kupigiwa kura kupitia huduma ya
simu ya mkononi ya PUSH ambapo vigezo vya kutazama unapopiga kura kuwa
ni pamoja na uvumilivu katika siasa ,uwezo wa kuibua na kutetea hoja
,ushiriki wake katika kutetea maslahi ya Taifa,ushiriki wake katika
huduma za Jamii na Nidhamu katika shughuli zasiasa.
Hii itakuwa ni mara ya Kwanza nchini Tanzania kwa Kampuni ya Tanzania
Awards Internation Limited kutoa Tuzo ya Heshima kwa viongozi hao huku
mgeni rasmi katika hafla hiyo akitarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Posted by MADUHU at 7:35 AM 0 comments
PICHA:MWILI WA MAREHEMU ESTER MHANDO WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Mch Geogrey Mbwana akihutubia mamia ya waombolezaji
Mume wa Marehemu Dr Herry Muhando wa pili toka kulia
Watoto na Wajuu wa Marehemu
Mhandisi Mayunga akiimbisha wimbo
Mch Geofrey Mbwana akimfariji Dr Herry Mhando
Mamia ya ndugu jamaa na marafiki leo walifurika kuuaga mwili wa marehemu
Esta Muhando katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenge.
Mwili wa Marehemu ambaye alikuwa mke wa Dr Herry Muhando umesafirishwa
kwenda Hedaru ambapo mazishi yanatarajiwa kuwa kesho Februari 15 mwaka
huu.
Ibada ya kuuaga mwili iliendeshwa na Makamu wa Kiongozi wa Kanisa la
Waadventista Wa Sabato Mch Geofrey Mbwana ambaye alihimiza watu
waliohudhuria kuacha alama zitakazokumbukwa hata baada ya wao kutoweka
duniani kama ilivyo kwa marehemu Ester.
Posted by MADUHU at 12:21 PM 3 comments
KIGALI:TED WILSON AZINDUA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA CHA
WAADVENTISTA WA SABATO
Dr Ted Wilson akiteta jambo na Dr Blasious Ruguri
Waimbaji wa Ambassadors of Christ waliimba
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika ya Kati cha Kanisa la
Waadventista Wa Sabato kilichoko Gishushu,Kigali Rwanda kimezinduliwa
rasmi jana na Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dr
Ted Wilson akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Kanisa hilo
katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati(ECD)
Ted ambaye yuko katika ziara ya kikazi katika ukanda huo aliwasili juzi
mjini Kigali akitokea Juba,Sudani ya Kusini huku akitarajiwa kuelekea
Uganda kabla ya kurejea Marekani yaliko makao makuu ya kanisa la
Waadventista Wa Sabato Duniani.
Posted by MADUHU at 4:14 AM 0 comments
JUBA:DR TED WILSON AFUNGUA MAJENGO MAWILI YA KANISA LA WAADVENTISTA WA
SABATO HUKO JUBA SUDANI YA KUSINI
Nyumba ya Kulala Wageni ya ECD iliyofunguliwa
Ofisini za Field za Kanisa la Waadventista Wa Sabato zilizoko Juba
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dr Ted Wilson
akiwa katika ziara yake ya kutembelea nchi zilizoko katika Divisheni ya
Afrika Mashariki na Kati amezindua na kufungua majengo mawili huko
Juba,Sudani ya Kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika eneo hilo.
Akiwa Juba Ted Wilson amezindua na kuweka wakfu majengo mawili moja
likiwa ni Ofisini za Field na Union ya Ikweta na jengo la pili ni la
nyumba ya kulala wageni ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato la Divisheni
ya Afrika Mashariki na Kati(ECD).
Posted by MADUHU at 7:57 AM 0 comments
JUBA:KIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO DUNIANI TED WILSON
AWASILI JUBA,SUDANI YA KUSINI

amewasili Juba,Sudan ya Kusini akitokea nchini Tanzania baada ya
kushiriki kwenye sherehe za utume wa kanisa hilo(Mission Extravaganza)
zilizofanyika kwa juma zima toka februari mosi mwaka huu na kuhitimishwa
kwenye uwanja wa Taifa kuanzia Februari 4 hadi 7,mwaka huu.
Ted akiwa nchini Tanzania aliongoza ibada ya siku ya Sabato ambapo
alihutubia waumini wa kanisa hilo wapatao 50,000 wanaounda Divisheni ya
Afrika Mashariki na Kati yenye nchi 11,huku ukihudhuriwa na Makamu wa
Rais Dr Mohamed Gharib Bilal ambaye alizindua mkutano huo akiwataka
waumini hao kuombea taifa la Tanzania kudumisha amani,upendo na
mshikamano.
Mkutano huo ambao pia ulihudhuriwa na viongozi wandamizi wa Kanisa la
Waadventista Wa Sabato toka yalipo makao makuu yake huko Washngton
DC,Marekani ulishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Bernad Membe akiufunga kwa kulipongeza na kulitaka kanisa
hilo kutojiingiza katika migogoro ya aina yoyote.
Ted Wilson akiwa ameambatana na viongozi wengine wa Divisheni ya Afrika
Mashariki na Kati aliwasili Juba na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa
kanisa hilo nchini humo ikiwa ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo
kutembelea nchini hiyo toka ilipojitenga na Sudani julai 9,2011.
Posted by MADUHU at 3:30 AM 0 comments
KARIBU RHEVAN STUDIO KWA KAZI ZA VIWANGO

JIUNGE SASA NA UNIVERSAL COLLEGE OF AFRICA

TRANSLATE
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

0 Responses so far.
Post a Comment