Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika
sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly (wa
katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa) akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati
ya Shirika la fedha la Kimataifa na
ujumbe kutoka Tanzania( hawapo kwenye picha)mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius
Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika
la fedha la Kimataifa mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa
kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini
Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akitoa ufafanuzi na majibu kwaswali
aliloulizwa na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika
sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika
la fedha la Kimataifa mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wakijadiliana juu ya ku kubaliana kuto
kukubaliana kwa baadhi ya sheria za (IMF) na Bw. Nikoloz Gigineishvili ambaye
ni Mchimi mwandamizi wa Shirika la fedha la
Kimataifa mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile walipomtembelea Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi
namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake wakiwa
mjini Washington DC.Walio ambatana na Mhe. Waziri kutoka kushoto ni Bw. Beda Shallanda Kamishina
wa Sera,Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa Fedha za nje na Bw. John Cheyo
Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi wa Benki ya Dunia.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi
namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi
namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose wakiagana mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis
Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina
wa Sera na Bw. Paul Mwafongo ambaye ni
Afisa katika ubalozi wa Tanzania na kutoka kushoto ni Bw.Ngosha Said Magonya
Kamishina wa Fedha za nje Bw. John Cheyo Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni
mfanyakazi wa Benki ya Dunia.
Picha zote na Ingiahedi Mduma- Washington DC.
0 Responses so far.
Post a Comment