Mmoja wa Washiriki wa Mafunzo ya Public Speaking akiwa katika mafunzo kwa vitendo

TANGAZO

Je una ndoto ya kuwa:
Radio/Tv Presenter au
Public Speaker au
Motivational Speaker
Inspirational Speaker au
Facilitator au Consultant

Taasisi ya JAMII LIVE Itaendesha mafunzo (Training) ya Bure ya siku Tano kuanzia Tarehe 31/10/2016,Usikose

Mahali:Ofisi za Jamii Live,Mbezi Beach karibu na Suma JKT kabla ya kufika Tegeta
Trainer:Amani Mwaipaja
Contact:
Simu: 0714559910
Instagram:Mwaipaja1
Facebook:Amani Theophilus

JISAJILI MAPEMA,NAFASI NI CHACHE

SAMBAZA UJUMBE HUU

 Public speaking Training
 Mkurugenzo wa Jamii Live Amani Mwaipaja akiwa washiriki wa Mafunzo
Mkurugenzi wa Jamii Live Amani Mwaipaja (wa kwanza kushoto) akiwa na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Public Speaking ndani ya Studio wakati wa ziara ya Mafunzo


0 Responses so far.