Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akizungumza jambo wakati Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara (wapili kushoto), alipotembelea banda la PSPF kwenye jingo la Wizara ya Fedha na Mipango viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Julai 1, 2016. (Wapili kulia) ni Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Costantina Martin.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa  Godius Kahyarara, wakati alipotembelea banda la PSPF lililoko jingo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 1, 2016. Maonyesho hayo yanayoshirikisha nchi 30 kutoka sehemu mbalimbali duniani yalifunguliwa rasmi na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Mwananchi akitazama vipeperushi vyenye maelezo ya kina kuhusu shughukli za Mfuko wa PSPF wakati alipotembelea banda la Mfuko huo
 Mwananchi akijaza fomu za kujiunga na Mfuko wa PSPF kupitia mpango wa uchagiaji wa hiari PSS
  Mkurugenzi Mkuu wa GEPF Daud Msangi,(kushoto), akipatiwa maelezo na meneja masoko, mawasiliano na uenezi, costantina martin (katikati) na afisa masoko mwandamizi wa mfuko huo, rahma ngassa (kulia)
 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula mara baada ya hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Julai 1, 2016
 Wananchi wakihudumiwa walipotembelea banda la PSPF
 Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Costantina Martin(Wanne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kazi cha Mfuko huo ambacho kimepiga kambi kwenye banda la Mfuko huo tayari kuwahudumua wanachama na wananchi wanaotembelea banda hilo
 Kikosi kazi cha PSPF kinachotoa huduma kwa wanachama na wananchi wanaotembelea banda la Mfuko huo pale Sabasaba
 Catherine Salema ,(kushoto),  afisa uendeshaji wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, akimpatia maelezo mananchi huyu aliyetembelea banda la PSPF lililoko jingo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai 1, 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, (wapili kulia), akipeana mikono na afisa Kumbukumbu wa Mfuko huo,  Lupakisyo J. Mwaipungu wakati alipofika kwenye banda hilo.
 Wafanyakazi wa PSPF wakimsikiliza mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo ili kujua huduma zitolewazo na Mfuko huo
Mfanyakazi wa PSPF, akimpatia maelezo mwananchi huyu aliyetembelea banda hilo

photo , ,