Jamii Live ni Taasisi inayojihusisha na Utoaji wa Mafunzo na Ushauri wa Kitaalam kwa Jamii iliyoanzishwa na Mtaalam aliyebobea katika katika masuala ya Kijamii nchini Tanzania Amani Mwaipaja kwa lengo la kusaidia Jamii ya Kitanzania.

Taasisi ya Jamii Live kwa sasa ipo kwenye program ya kuwajengea uwezo vijana wa kitanzania kwa kutoa mafunzo mbalimbali na ushauri ili waweze kujiajiri wao wenyewe
 Mkurugenzi wa Jamii Live Amani Mwaipaja akiongea wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo kwa watu wanaopenda kujiajiri kupitia Public Speaking/Motivational/Inspirational Speaking na watangazaji wa Radio na Televisheni kwenye ofisi za Jamii Live
 Pichani ni Washiriki wa Training ya Jamii Live



Washiriki wa Mafunzo wakiwa ndani ya Studio za Morningstar Radio wakipata mafunzo kwa Vitendo.Pichani ni Mtangazaji wa Morningstar radio Jackson Sekiete akitoa ufafanuzi kwa Washiriki wa Mafunzo kutoka Jamii Live

Ili kujiunga na Trainings za Jamii Live unaweza kuwasiliana na Mkurugenzi wa Jamii Live kupitia mawasiliano yafuatayo:

Simu:0787070707/0714559910
Email:mwaipaja@yahoo.com
Instagram:Mwaipaja1
Facebook"AmaniTheophilus
AU Fika ofisi za Jamii Live zilizopo Karibu na Suma JKT ya Karibu na Tegeta


0 Responses so far.