Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sketi  iliyoshonwa  kwa mtindo wa vazi la asili la watu wa Hanang wakati  alipotembelea banda la Wilaya hiyo katika maonyesho  yaliyoambatana na  Kongamano la Uwekezaji la Kanda  ya Kaskazini lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye hoteli ya Mkonge Mjini Tanga Septemba 26, 2013.  Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mku, Uwezeshajina Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr.Mary Nagu, Wapili Kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa na wapili kulia ni Mkuu wa WIlaya ya Hang, Christina Mdeme
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la uwekezaji kwa  mikoa ya Kanda ya Kaskazini wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano lao kwenye hoteli ya Mkonge mjini Tanga , Septemba 26, 2013.Picha na ofisi ya Waziri Mkuu

photo , ,

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 
 Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini  wakiwa kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam
 
 Othman Michuzi, akipokea cheti.
 Shamim Mwasha, akipokea cheti.
 Cathbert Kajuna, akipokea cheti...
 Dj Choka, akipokea cheti.
 Maxence Melo, kipokea cheti.
 Sinta, akipokea cheti.
 
 Jeff Msangi, akichangia mada.
 Maxence, akichangia mada.
 Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...
 Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo...
 Mafunzo yakiendelea 
 Mike Mushi, wa jamii forum, akitoa mada
 Mablogger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa. Kwa picha zaidi Bofya hapa >>>

photo ,


 Anaitwa Remmy Williams, Mtanzania anayefanya muziki nchini Italy. Remmy Williams amefanya nyimbo akiwashirikisha wasanii wa hapa Bongo ambao ni King Ruston, Moses Thomas& Mirror Rhymes. 

Nyimbo inaitwa AFRICA, imefanyika katika studio za Overclassic na video ya wimbo wa Africa imefanywa na  Kampuni ya E-media chini mwongozaji NIck Dizo na Sama.

Video ya wimbo wa Africa imefanywa katika viunga vya jijini Mwanza

photo


Kutokana na kuibuka kwa wimbi la wasanii kupiga picha za utupu,Msanii mwingine wa Bongo Movie ajulikanaye kwa jina la Baby Mapoz amepiga picha za utupu na kuzisambaza mtandaoni. 

Habari kamili pamoja na picha hizo zitawajia hivi punde

photo

Moja ya Michoro maridadi ya Msanii Kijana anayefanya vizuri katika Fani ya Uchoraji Hassan Majeshi ndani na nje ya Tanzania.

photo

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akimpokea Bondia Francis Cheka wakati akiwasili uwanjani  katika halfa ya kumpongeza Bondia huyo aliyenyakua Ubingwa wa Dunia Kwa Kumchapa bondia kutoka Marekani.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akikabidhiwa Mkanda wa Ubingwa wa Dunia kutoka kwa Bondia Francis Cheka Mjini Morogoro
Bondia Francis Cheka akitoa neno la Shukrani na Pembeni yake Ni Mke wa Bondia Huyo

Kocha wa Bondia Huyo Aliyefahamika kwa jina la Komando Akisema Machache wakati wa Halfa hiyo leo
Mkuu wa wilaya ya Mvomero na rais wa Riadha Tanzania Mh Antony Mtaka Akisema machache
Akizungumza katika hafla Mkuu wa Mkoa Mh Joel  Bendera alisema  ushindi wa Cheka ni sifa kwa tanzania katika  mchezo wa ngumi. Bondia Francis Cheka amezawadiwa kiwanja  mabati, na Tani moja ya saruji.Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG

photo ,

Baadhi ya majengo ya shule ikiwemo maliwato si salama kwa usomaji,mazingira na afya,ni Changamoto inayotakiwa kuchukuliwa hatua za haraka kabla hayajatokea maafa makubwa

photo

 Wakati wa Likizo...
Madarasa mapya
 Maliwatoooooo...
Mwasisi wa Blog hii akikagua Mazingira ya shule

photo