Na Fatma Salum na Hassan Silayo- MAELEZO
Mfuko wa pensheni wa LAPF unatarajia
kutumia kiasi cha shilingi bilioni 35 katika mradi wa kituo cha mabasi
eneo la msamvu Mkoani Morogoro.
Akizungumza kwenye mkutano na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Meneja wa mfuko huo Kanda ya
Mashariki Sayi Lulyalya alisema mradi huo ambao ni ubia kati ya Manispaa
ya Morogoro na mfuko wa LAPF unatarajiwa kuanza wakati wowote mwaka
huu.
0 Responses so far.
Post a Comment