Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia kwa pamoja na baadhi ya viongozi baada ya kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanajeshi baada ya kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
0 Responses so far.
Post a Comment