Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akimpongeza Mkurugenzi wa JAMII KWANZA Bw. Amani Mwaipaja baada ya kuanzisha kampeni ya Jamii Kwanza mjini Morogoro.

Mgeni rasmi Mhe. Bernard Membe akikabidhiwa picha yake iliochorwa kwa mkono na msanii Bw. Chipenya wakati wa uzinduzi wa kampeni ya JAMII KWANZA nadni ya Ukumbi wa Glonency -88 mjini Morogoro.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akitoa Mchango wake kwa Kampeni ya  JAMII KWANZA.Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa na nakala ya kitabu changu cha Zijue Sheria na Haki Zangu

photo ,

0 Responses so far.