Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za picha hizo kilisema msanii huyo ambae pia anaigiza pamoja na kundi la Ze Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha na vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti kupiga nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwaakitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo. Mmoja wa Wasanii wa filamu ambaye ameingia kwenye kashfa baada ya kupiga picha na Msanii Manaiki

 Gari la Msanii Manaiki Sanga

 Akiwa kwenye pozi ufukweni

Hizi ni baadhi tu ya Picha  zilizotumwa kwetu.

Wasanii wetu wanapaswa kuelewa kuwa wao ni kioo cha jamii,Vitendo kama hivi ndivyo vinavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya wasanii wetu

photo

0 Responses so far.