Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood
Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa dini mkoa wa Morogoro
Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez
Sehemu ya umati uliofurika uwanjani hapo
Rais Kikwete akiwa meza kuu. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro na Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk Rajab Rutengwe, Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez
Bendi ya Jeshi la Polisi likiongoza maandamano makubwa ya wanawake yakiingia uwanjani
Rais Kikwete na Meza kuu ikipokea maandamano hayo
Maandamano
Kinamama wakisherehekea siku yao
Rais Kikwete akipungia maandamano
TTCL wamependeza na miavuli yao
Benki ya posta
Kina baba hawakuwa nyuma
Msanii Starah Thomas akiimba wimbo maalum akisaidiwa na wanafunzi
Msanii Peter Msechu akiimba na kucheza na wanafunzi
Mtoto Miriam Edward akitumbuiza
Mwanadada hodari Hazala 'The Ball Juggler' Mohammed akipiga danadana
Vijana wa Sifa Theatre Troupe wakitumbuiza
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk Rajab Rutengwe akisoma utangulizi wa sherehe hizo
Mwakilishi wa kinamama wajasiriamali wa Morogoro Bi. Emmy Kiula akisoma Risala yao
Rais Kikwete akipokea risala toka kwa Mwakilishi wa kinamama wajasiriamali wa Morogoro Bi. Emmy Kiula
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez akihutubia kwa Kiswahili fasaha
Rais Kikwete akimpongeza Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez kwa hotuba nzuri, Kushoto ni Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Ulaya (EU) Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi pia akihutubia hadhara hiyo kwa Kiswahili fasaha
Sehemu ya Umati
Umati wa wakaazi waMorogoro na vitongoji vyake
Mabalozi wa nchi mbalimbali walihudhuria
Mabalozi na viongozi wa taasisi mbalimbali zinasohudumia wanawake
Umati
Viongozi wa vyama vya siasa wakitambulishwa
Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akimkabidhi Rais Kikwete tuzo maalum ya Wanawake kwa mchango wake mkubwa wa kujali maslahi yao
Rais Kikwete akifurhia tuzo yake
Rais Kikwete akimkabidhi tuzo Celina Ompeshi Kombani mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki
Rais Kikwete akimtuza Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Muhingo Rweyemamu kwa kazi kubwa aliyoifanya kuendeleza elimu ya wasichana alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni
Mwakilishi wa TAMWA akipokea tuzo kwa kazi nzuri inayofanywa na taasisi hiyo
Mwakilishi wa TAMWA akipokea tuzo ya pili kwa kazi nzuri inayofanywa na taasisi hiyo
Tuzo kwa kazi nzuri
Tuzo kwa masista wanaosaidia kupiga vita ukeketaji
Rais Kikwete akihutubia
Rais Kikwete akifafanua jmbo katika hotuba yake
Rais Kikwete akiagana na viongozi wa dini
Baada ya hotuba Rais Kikwete akipiga picha ya pamoja na makundi mbalimbali ya wadu wa Wanawake
Rais Kikwete akitembelea mabanda ya maonesho
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa PPF Morogoro
Rais Kikwete akiongea na mtoto Reuben Boniface mwenye umri wa miaka 9 na manafunzi wa darasa la nne shule ye Elu Children Care |
Rais Kikwete katika banda la WOGE
Rais Kikwete akikagua banda la Halmashauri ya Mkoa wa Morogoro
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Halmashauri ya Morogoro
0 Responses so far.
Post a Comment