Aliyekuwa Mkuu
wa Magereza Mkoa wa Shinyanga Kamishina Msaidizi wa Magereza (SACP) Annethy
Laurent.
Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika
Kanisa Katoliki Parokiani Segerea. Walio mbele ni Pamela (mtoto wa dada yake na Marehemu) na aliyebeba
picha ni mtoto wa Pamela ( Mjukuu wa Marehemu). Walioshika jeneza kushoto ni
Mkuu wa Magereza mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Dk.Kato
Rugainunura, kulia ni Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Magereza Kamishna Msaidizi wa
Magereza (ACP) Rajab Nyange
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakati wa ibada ya kumuombea Marehemu.
Naibu Kamishna
wa Magereza (DCP) Edith Mallya akitoka salaam za Jeshi la Magereza kwa wafiwa
kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa
Magereza John C. Minja.
Mwenyekiti wa
Kamati ya Ulinzi na Usalama aliye pia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally
Lufunga akitoka salaam za pole kwa wafiwa kwa niamba ya Kamati yake ambayo pia
aliongozana nayo katika msiba huo (hawapo pichani)
Mwenyekiti wa
Kamati ya Ulinzi na Usalama aliye pia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally
Lufunga(Mwenye miwani) akitoa heshima za mwisho kwa marehemu. Wa pili ni
Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja akifuatiwa na aliyewahi kuwa Katibu
Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakhim Maswi wakitoa salaam zao za mwisho.
Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika kanisa katoliki
parokiani Segerea tayari kwa misa takatifu ya kumuombea marehemu.
PIX 8: Baada ya misa
takatifu msafara wa kuelekea makaburini
ulianza ukiongozwa na Kamishina Jenerali wa Magereza (CGP) John Minja.
Picha zote na Mkaguzi
wa Magereza Moses Sebastian
Makao Makuu ya Magereza.