Mama
Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote
Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha
kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi
Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa
Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa
kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara
Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa mwakilishi wa serikali ya
Nigeria na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko
Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji
cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa mmoja wa maofisa wa Nigeria na
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote
katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote
eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe katika sherehe za uzinduzi
wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani
Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Jordan
Rugimbana katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji
cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa maafisa kutoka Nigeria
katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha
Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Meza kuu
Sehemu ya wageni
Wageni waalikwa
Mabinti wa Alhaj Aliko Dangote
Ukumbi umefurika
Wageni
Wageni waalikwa
Wageni waalikwa
Wageni waalikwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akibadilishana mawazo na mdau Shose Sinare
Alhaj
Aliko Dangote akihutubia walikwa katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda
cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara
Jumamosi Oktoba 10, 2015
Waalikwa
katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha
Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Alhaj
Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza
Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10,
2015
Wageni
katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha
Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Kikwete akimpongeza Alhaj Dangote kwa hotuba nzuri
Rais Kikwete akihutubia
Umati ukimsikiliza Rais Kikwete
Wanakijiji wa Msijute wakisikiliza hotuba
Rais Kikwete akihutubia
Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia
Vifijo baada ya hotuba
Rais Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na Alhaj Dangote wakielekea sehemu ya kupiga picha
Picha ya kumbukumbukatika uzinduzi wa kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete na Alhaji Dangote na mabinti wake watatu
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete na Alhaji Dangote na mabinti wake watatu na ujumbe wao toka Nigeria
Sehemu
ya wafanyakazi wa kutoka China na India wa katika sherehe za uzinduzi
wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani
Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Kikwete akikata utepe katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha
kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi
Oktoba 10, 2015
Rais
Kikwete akifunua pazia katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha
kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi
Oktoba 10, 2015
Rais
Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika sherehe za
uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute
mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Wataalamu wakiwa kazini katika kiwanda cha Dangote Mtwara
Rais
Kikwete akipata maelezo ya uzalishaji wa saruji kutoka kwa dada Mbumi
Mwampeta Mtanzania mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mhandisi wa
uzalishaji
Rais
Kikwete akipata maelezo ya uzalishaji wa saruji kutoka kwa dada Mbumi
Mwampeta Mtanzania mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mhandisi wa
uzalishaji wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha
Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Kikwete akipata maelezo ya jinsi saruji inavyotengenezwa katika uzinduzi
wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani
Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Kikwete akiondoka kiwandani baada ya sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha