Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akizungumza jambo
wakati Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara (wapili kushoto),
alipotembelea banda la PSPF kwenye jingo la Wizara ya Fedha na Mipango viwanja
vya Mwalimu Nyerere kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es
Salaam, Julai 1, 2016. (Wapili kulia) ni Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Costantina
Martin.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akifurahia jambo na
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius
Kahyarara, wakati alipotembelea banda la PSPF lililoko jingo la Wizara ya Fedha
na Mipango kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya
Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 1, 2016. Maonyesho
hayo yanayoshirikisha nchi 30 kutoka sehemu mbalimbali duniani yalifunguliwa
rasmi na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Mwananchi akitazama vipeperushi vyenye maelezo ya kina kuhusu shughukli za Mfuko wa PSPF wakati alipotembelea banda la Mfuko huo |
Mwananchi akijaza fomu za kujiunga na Mfuko wa PSPF kupitia mpango wa uchagiaji wa hiari PSS
Mkurugenzi
Mkuu wa GEPF Daud Msangi,(kushoto), akipatiwa maelezo na meneja
masoko, mawasiliano na uenezi, costantina martin (katikati) na afisa masoko
mwandamizi wa mfuko huo, rahma ngassa (kulia)
Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa
EAG Group, Imani Kajula mara baada ya hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya
40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Julai 1, 2016
Wananchi wakihudumiwa walipotembelea banda la PSPF
Meneja
Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Costantina Martin(Wanne kulia), akiwa
katika picha ya pamoja na kikosi kazi cha Mfuko huo ambacho kimepiga
kambi kwenye banda la Mfuko huo tayari kuwahudumua wanachama na wananchi
wanaotembelea banda hilo
Kikosi kazi cha PSPF kinachotoa huduma kwa wanachama na wananchi wanaotembelea banda la Mfuko huo pale Sabasaba
Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, (wapili kulia), akipeana mikono na afisa Kumbukumbu
wa Mfuko huo, Lupakisyo J. Mwaipungu
wakati alipofika kwenye banda hilo.
|
Wafanyakazi wa PSPF wakimsikiliza mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo ili kujua huduma zitolewazo na Mfuko huo
Mfanyakazi wa PSPF, akimpatia maelezo mwananchi huyu aliyetembelea banda hilo
0 Responses so far.
Post a Comment