Mtoto huyu anayejulikana kwa jina la Amani ni mmoja kati ya watoto yatima wanaolelewa na kituo cha watoto yatima cha Simike...Mtoto huyu alipelekwa kituoni hapo akiwa na umri wa wiki moja baada ya mama yake aliyemzaa kumtelekeza katika hospitali ya wazazi ya Meta.Hapa alikuwa akiwaimbisha wenzake.
Watoto hawa wanahitaji msaada wako, hata kuwatembelea na kuwajulia hali na kuongea nao ni sehemu mojawapo ya kuwapatia faraja


7 Responses so far.

 1. Habari Amani,

  I really love this posting and accolade your efforts in seeking to promote social awareness of the less privileged members of society. Your gestures of visiting and spending time with this children is simply humbling.

  Liz

 2. thank you for your appreciation on on this...lets be cooperative in the whole process which will bolster the promotion and protection of the less previleged
  Much respect for ur responce.
  Amani

 3. thank you LIZ.

 4. Ireal appreciate your things you do over there...big up mama

 5. Tanzania tunamsubiri MASIHA, maana JK ameshindwa kutupeleka nchi y ahadi..

 6. Mungu wasaidie hawa watoto waliokwenye wakati mgumu, najua kwa maombi haya Mungu atawasaidia tu.
  Uwanaumia roho sana nikiona watoto yatima naona kama mtoto wangu ndio anapata shida hizi ila sina chakufanya ninawaombea Mungu ,najua yeye atawasaidia ,kwani Mungu anawapenda.

 7. Watu wa Mbeya amkeni msaidie watoto hao. Inatia huruma sana, nchi ya mafisadi hii jamani watz wenzangu. Tujaribuni chama kingine cha siasa,