Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia
hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali
ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Katikati ya Rais na Mama Salma ni
Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.
0 Responses so far.
Post a Comment