Wageni mbalimbali walikuwepo uwanjani hapo
wakingojea Maharausi miongoni mwao ni wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya
muungano wa Tanzania.
 |
Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko
wakiwa na wapambe wao katika pozi la kuchukua
Taswira. |
 |
Taswira katika maeneo mbalimbali ya
Ngurdoto Mountain Lodge. |
 |
Bi Harusi Anande Nnko akiwa amebebwa na
Bwana Harusi pamoja na wapambe wake. |
 |
Pozi tofauti za Maharusi. |
 |
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na
wazizi wa Bi Harusi Anande Nnko pamoja na ndugu zao. |
 |
Maharusi wakiwa na Mzee Edwin Mtei pamoja na
Mama Mtei. |
 |
Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa katika
pozi la picha na wazazi wake. |
 |
Mbunge wa viti maalum Lucy Owenya pia
alihakikisha na yeye anakuwa kwenye kumbukumbu za Picha ,Baada ya
picha safari ilikuwa ni ya kuelekea Ukumbini yote utayaona hapa hapa. |
| |
0 Responses so far.
Post a Comment