YULE denti wa chuo kimoja jijini Mwanza ambaye wiki iliyopita tuliandika habari ya picha zake za utupu kuzagaa kwenye mtandao wa BBM, Fatuma Omari amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia madai kuwa familia yake imemtenga.
 
Chanzo chetu kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mara baada ya kutoka kwa habari hiyo, baadhi ya ndugu zake walikasirika na  kutaka kujua undani wake.

photo

Kweli sikio la kufa halisikii dawa! Licha kuolewa na Sunday Demonte, msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ametia aibu kwa mara nyingine tena baada ya kunaswa nusu utupu ukumbini usiku wa manane....

Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwandishi wetu lilijiri juzikati katika Ukumbi wa Nyumbani, mjini hapa ambapo Aunt aliwashangaza mashabiki waliofurika kwenye shoo ya Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.

Aunt alivaa kipensi kilichoacha mapaja yote wazi hadi kulazimika kujifunika kwa pochi na kitopu ‘transiparenti’ kilichoonesha kila kitu hadi ‘chakula ya mtoto’.

Baada ya midume kumuona akiwa amevaa kihasara huku akijificha nyuma ya jukwaa baadhi yao walimfuata na kuanza kumzingira kisha kumwagizia ulabu kama mvua kila mmoja akitamani kuondoka naye kwenda kumfaidi kimapenzi.

Baadhi ya madalali wa magari wa eneo la Masika mjini hapa walimvamia Aunt na kuanza kumgombea wakiongozwa na mmoja wao aliyeonekana kuwa jirani zaidi na msanii huyo.

Mwanahabari wetu alipomfuata Aunt na kumuuliza kulikoni akatoka Dar kuwafuata Ngwasuma Mji Kasoro Bahari huku akiwa kihasara kiasi hicho, mke huyo wa mtu alifunguka: 
“Nipo hapa Moro zaidi ya siku sita na nitaendela kuwepo kwa zaidi ya siku kumi, nipo na kundi langu tunarekodi filamu kwenye Hoteli ya Nashera.”

Alipobanwa kuhusiana na kinguo alichovaa huku mapaja na maungo mengine nyeti yakionekana, alicheka na kukatisha mahojiano: “Siwezi kuzungumza chochote kama vipi chukua namba yangu unipigie kesho.”

Kesho yake alipopigiwa, simu yake iliita bila kupokelewa.
Siyo mara ya kwanza, Aunt amekuwa akifanya matukio yasiyoendana na hadhi ya mke wa mtu akijiachia kihasara ikiaminika kuwa anafanya hivyo kwa kuwa hakai na mumewe ambaye yupo huko Dubai.

photo

Muimbaji mwenye kipaji cha hali ya juu katika anga la muziki wa Injili Tanzania Neema Lyimo amechia kibao chake cha Pokea Sifa. kwa wale watakaohitaji albam ya mwanadada huyu abaye kwa sasa yuko katika mazoezi ya hali ya juu kwa ajili ya maandalizi ya albam hiyo wawasiliane na timu ya blog hii

photo


Msanii Mahiri anayetesa katika muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania namzungumzia Timbulo ally ameachia kibao chake kipya cha Sina Makosa na tayari kibao hicho kimeshaanza kufanya vizuuri katika vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo radio na mitandao.

photo