Sehemu ya  wageni waalikiwa wakifuatilia  tukio hilo 
 Balozi wa Liberia Marjon Kamara akisoma ratiba ya tukio
 Mwakilishi wa Kundi la nchi 77 na China ( G77& China) Naibu Balozi Luke Daunivalu akitoa salamu za kundi  hilo
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania  New York Bw. Hajji Khamisi alitumbuiza kwa shairi nzuri la kumuenzi Baba wa Taifa
 Wageni waalikwa wakiwa  wamemzunguka Professa Mazrui kumsalimia na kununua kitabu
 Professa Mazrui  na Professa Lindah  wakisaini vitabu vya wateja wao
 Mwanamke kanga ati! Na haswa ukijua  kuifunga. Mgeni wetu huyu alikuja kutupa tafu anasema ana mapenzi makubwa na Tanzania 
 Sehemu ya Watanzania katika hafla hiyo 
 Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya Umoja wa Mataifa Flora Nducha akiwa na kitabu cha Mwalimu akipozi na wadau
 wageni waalikwa wakipata chochote kitu
 Professa Mazrui alipofika Ubalozi  kupata angalau maji ya machungwa baada ya  kukamilika kwa hafla ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na Uzinduzi wa Kitabu,  kutoka  kushoto ni   Upendo Manongi,  Professa Lindah Mhando,  Professa Mazuri na Fatma Mwinyi waliosimama ni Bw. Mhando, Balozi Manongi na Balozi Mwinyi
 
 Balozi wa Cameroon Michel Tommo Monthe  
 Naibu Katibu   Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Jan Elliasson ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Mwalimu Nyerere Day pembeni yake ni Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi
 Balozi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tete Antonio naye akisema machache kuhusu Mwalimu Nyerere
 Balozi wa Nigeria na mjumbe toka Uholanzi wakifuatilia kwa makini tukio hilo

 Balozi wa Ethiopia naye alikuwapo 
 Wageni  wengine waliokuwapo kwenye tukio hilo
 Sehemu ya wageni waliofurika ukumbini hapo 
 Balozi Tuvako Manongi akiashiria uzinduzi wa kitabu kuhusu Mwalimu Nyerere
 Professa Ali Mazrui akionyesha kitabu kuhusu  Mwalimu Nyerere  ambacho yeye na Profesa  Lindah Mhando wamekiandika
 Profesa Lindah Mhando akisema machache kuhusu Mwalimu Nyerere na kitabu alichoandika yeye na Profesa Mazrui
 Wadau wakiwakilisha wadau 
 Bango la shughuli 
 Balozi wa   China Liu Jieng katika mazungumzo yake alimuelezea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere  kama kiongozi  aliyekuwa kiungo muhimu cha ushirikiano na urafiki  kati ya Tanzania na China na watu wake. Urafiki ambao bado unaendelea hadi leo akaelezea pia ujenzi wa Reli kati ya  Tanzania  na Zambia iliyojengwa na serikali ya  China kuwa  ni moja ya kielelezo muhimu cha ushirikiano  huo
 Balozi wa Kenya,  Macharia Kamau akizungumzwa kwa kiswahili yeye alieleza kwamba kama vitabu vinavyomuhusu Baba wa Taifa  vingeandikwa kwa wingi na Waafrika wenyewe,  hapa shaka Baba wa  Taifa angekuwa na utajiri wa majumba mengi  nchini Marekani
 Balozi wa India Asoke Kumar Mukerji akielezea machache kuhusu uhusiano wa Mwalimu Nyerere na viongozi wa  India na namna alivyokuwa muhimili  katika  kukuza ushirikiano wa Tanzania na India
Balozi wa Afrika ya Kusini naye akielezea pamoja na mambo mengine namna  ambavyo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alivyojitolea yeye binafsi na watanzania katika vita vya kuwaondoa makaburu
 Balozi wa Jamaica Courtenay Rattary naye hakuwa nyuma kuelezea namna alivyojifunza mengi kwa kupitia  maandiko ya Baba wa Taifa na falsafa zake

Deputy Secretary-General's remarks
New York, 14 October 2013 - Deputy Secretary-General's remarks at Event Commemorating Mwalimu Nyerere Day hosted by the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations 

I thank Ambassador Manongi for organizing this event. I am honoured to join you on behalf of the Secretary-General in paying tribute to the late Mwalimu Julius Nyerere, a great statesman and one of the founding fathers of modern Africa.
His high ideals, moral integrity and personal courage continue to inspire people around the world – including me.
I had the honour of serving former Swedish Prime Minister Olof Palme, who developed deep friendship and admiration for President Nyerere through their various contacts.
They shared many common values. Both President Nyerere and Prime Minister Palme co-signed a message to the US and Soviet leaders in 1986 calling on them to halt the nuclear arms race.
President Nyerere offered inspiring lessons in diplomacy which inspired my own work as a mediator.  When I served as the Secretary-General’s Special Envoy to Darfur, my partner, the African Union Special Envoy, Dr. Salim Ahmad Salim, would often cite late President Nyerere.  I remember him once stressing that Nyerere used to say “in a democracy, you can and should have a multi-party system but you cannot have a multi-army system”.
I am also fortunate to have succeeded as DSG a great daughter of Tanzania, Asha-Rose Migiro. She would often encourage students to contribute to the nation as President Nyerere had hoped for them to do.  And of course like him, she has been a teacher.
Mwalimu had great vision, exceptional intellect, warmth and wit.  He was a man of ideas, a creative thinker and was always engaged and fearless in the struggle for justice and freedom.
President Nyerere was a champion for Africa taking control of its own destiny, free of dependence.
In his 1973 publication on Freedom and Development, Mwalimu Nyerere noted that people have to be truly involved for real development to take place.  He lived up to high standards in his own leadership. He believed that political success clearly was not measured by accumulated wealth – but by selfless service to the people in the public interest.
Leaders around the world today should heed this wise approach.
Mwalimu Nyerere fought for unity, solidarity and the sovereign equality of nations. He acted on the belief that all human beings deserve freedom, justice, respect and dignity. 
These are the same values that the United Nations is to uphold and defend.  Let us remember that “We the Peoples” are the first three words of the Charter.
In preparing for today’s event, I reviewed some documents in the UN archive.  I realized that Julius Nyerere himself signed the application of his country – then Tanganyika – to join the United Nations.
When he came to the United Nations for our 25th anniversary in 1975, he made a powerful statement. President Nyerere said he did not want to congratulate the Organization – and he explained why.
“It would be a little odd for me, as the representative of Tanzania, to offer congratulations to the United Nations,” he said, “for the United Nations is not an abstract thing, nor is it governed and run by creatures from outer space. The United Nations is us – its Members. It does not exist apart from us; it can do only what we, its Members, are prepared to do, acting together.”
This is a wise and strong call to common action that rings equally true today.
On this Mwalimu Nyerere Day, I pledge my firm resolve to forge an ever closer partnership between the United Nations, Africa and the United Republic of Tanzania – and realize to the proud vision of its founding President.

Thank you.

photo , ,

0 Responses so far.