Rais Jakaya  Kikwete  akiwa  katika picha ya pamoja na washindi  wa mbio za mwenge kikanda na jumla
 Rais Jakaya  Kikwete akipokea  mwenge kwa ajili ya  kupiga picha ya  pamoja na washindi wa mbio  hizo kikanda Rais  Jakaya  Kikwete akiwa na  viongozi wa  dini  walioshiriki  kumwomba dua baba wa taifa.
 Rais Kikwete akisalimiana na askofu wa Roman Katoliki leo

 Wageni mbali mbali wakiwemo mabalozi  wakiwa katika picha ya pamoja na rais Kikwete

 Wabunge pamoja na katibu  mkuu wa CCM  Philip Mangula wa kwanza kushoto  na Spika  wa bunge Anne makinda wa tatu  kulia anayefuata ni mbunge wa jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa
 Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akimpongeza Rais Jakaya  Kikwete kwa  hotuba yake  nzuri " Mheshimiwa Rais  nimeipenda sana hotuba yako leo"
 Rais Kikwete akiwa na  wabunge wa Chadema Iringa ,mchungaji Peter Msigwa na Chiku Abwao ambao  pia  walishiriki kilele  cha mbio za mwenge
 Rais Kikwete akipongezwa na mbunge Chikua Abwao na mbunge Msigwa kushoto
 Mbunge  Chiku Abwao  akipiga  picha ya Spika makinda  leo uwanja wa samora.Kwa picha zaidi bofya www.matukiodaima.com

photo ,

0 Responses so far.