![]() |
| Mhe. Tundu Lissu ambae ni kiongozi wa M4C -PAMOJA DAIMA kanda ya Kaskazini akiwa na Kamanda Daniel Urioh (Kulia) ,ambae anatarajia kuchukua Udiwani kata ya Olasiti 2015. |
![]() |
| Chopa ikitua katika viwanja vya Sombetini-Jijini Arusha |
![]() |
| Mama mzazi wa Diwani mtarajiwa wa CHADEMA Bw. Ally Bananga akiwa katika harakati za kumsapoti mwanae kwenye kampeni. |
![]() |
| Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Bw. John Heche akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Sombetini jijini Arusha |
![]() |
| Aliyekuwa diwani wa kata ya Sombetini Bw. Alfonso Mawazo akimweleza Bw. John Heche imani yake kwa Ally Bananga agombee Udiwani kata ya Sombetini. |
![]() |
| Mhe. Tundu Lissu ambae ni kiongozi wa M4C -PAMOJA DAIMA kanda ya Kaskazini akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Sombetini jijini Arusha. |
![]() |
| Mhe. Ephata Nanyaro ambae ni Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Arusha Mjini, akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga. |
![]() |
| Bw. Amani Golugwa ambae ni Mratibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini, akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga. |
![]() |
| Mhe. Joshua Nassari ambae ni Mbunge wa Arumeru Mashariki akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga. |
![]() |
| Chopa ikiondoka katika viwanja vya sombetini Jijini Arusha. |
![]() |
| Wananchi wakiishangilia CHOPA inavyoondoka katika viwanja vya Sombetini Jijini ,Arusha. Picha Zote na Gadiola Emanuel |














0 Responses so far.
Post a Comment