Mmoja
wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic
kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na
baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda
kufutulisha futari watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa
Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare
akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo
lipokwenda kufuturisha katika kituo cha kulelea watoto yatima cha
Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn
Mworia akiwasaidia kuweka uji kwa baadhi ya watoto wanaolelewa katika
kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es
Salaam,Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kwa
lengo la kujumuika na watoto hao kufuturu kwa pamoja hapo jana.
Mkuu
wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn
Mworia akiwagawia keki baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha
yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es
Salaam.Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kwa
lengo la kujumuika na watoto hao kufuturu kwa pamoja hapo jana.
Baadhi
ya watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic
kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,wakifuturu futari iliyoandaliwa
kwaajili yao na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania hapo jana.
Mkuu
wa kitengo cha kusaidia jamii cha Vodacom"Vodacom Foundation"Yessaya
Mwakifulefule akiwagawia futari watoto wanaolelewa katika kituo cha
yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es
Salaam.Ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo waliwatembelea watoto hao na
kujumuika pamoja kwa futari hapo jana.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania pamoja na watoto yatima wanaolelewa
katika kituo cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam
wakikata keki wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipowatembelea
watoto hao na kujumuika nao kwa futari hapo jana.
Mtoto
anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo
Bunju jijini Dar es Salaam,Mwanaidi Omary.akilishwa keki na Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania,Asteria Mallya,wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo
walipofika kituoni hapo kufuturisha jana.
Mtoto
anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo
Bunju jijini Dar es Salaam,Hamisa Juma akilishwa keki na Mfanyakazi wa
Vodacom Tanzania,Asteria Mallya,wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo
walipofika kituoni hapo kufuturisha,katikati ni Ofisa Mkuu wa Idara ya
huduma kwa wateja wa Vodacom Herriet Lwakatare.
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania,Asteria Mallya,akimlisha keki Husn Ramadhani
anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo
Bunju jijini Dar es Salaam,wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofika
kituoni hapo kufuturisha.Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na
Mawasiliano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia.