Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo lipokwenda kufuturisha katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akiwasaidia kuweka uji kwa baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kujumuika na watoto hao kufuturu kwa pamoja hapo jana.
Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akiwagawia keki baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam.Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kujumuika na watoto hao kufuturu kwa pamoja hapo jana.
Baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,wakifuturu futari iliyoandaliwa kwaajili yao na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania hapo jana.
Mkuu wa kitengo cha kusaidia jamii cha Vodacom"Vodacom Foundation"Yessaya Mwakifulefule akiwagawia futari watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam.Ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo waliwatembelea watoto hao na kujumuika pamoja kwa futari hapo jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania pamoja na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam wakikata keki wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipowatembelea watoto hao na kujumuika nao kwa futari hapo jana.
Mtoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Mwanaidi Omary.akilishwa keki na Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Asteria Mallya,wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofika kituoni hapo kufuturisha jana.
Mtoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Hamisa Juma akilishwa keki na Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Asteria Mallya,wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofika kituoni hapo kufuturisha,katikati ni Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Herriet Lwakatare.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Asteria Mallya,akimlisha keki Husn Ramadhani anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofika kituoni hapo kufuturisha.Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia.

photo , ,

0 Responses so far.