
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma
S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na
kuzungumza na wananchi

Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo

Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo

Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde "Kibajaji"

Ujumbe toka kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Msanga

Kikundi cha utamaduni cha Shule ya Msingi ya Msanga kikitumbuiza

Rais Kikwete akiangalia ngoma ya Kigogo ikichezwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Msanga

Rais Kiwkete akiwapongeza wacheza ngoma wa Shule ya Msingi ya Msanga

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi akishauriana jambo na Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally

Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally akitoa taarifa ya Wilaya

Watendaji wa Wilaya ya Chamwino wakiwa katika kikao na Rais Kikwete

Rais Kikwete akitoa ushauri na maagizo kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali

Watendaji wa Wilaya wakisikiliza kwa makini

Katibu Tawala wa Wilaya ya Chamwino akifafanua jambo

Mwalimu Silvanus Hosea wa shule ya Bwigiri ambaye ni mwalimu mwenye ulemavu wa macho akitoa maoni yake

Mwakilishi wa shirika la kimataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) akifafanua juu ya mradi wa chakula kwa wanafunzi mashuleni

Rais Kikwete akitoa ushauri wa njia bora za kuendeleza mradi wa chakula kwa wanafunzi mashuleni

Vijana
waliomaliza elimu ya juu na kuamua kujishuhghulisha na mradi wa kilimo
wilayani Chamwino wakitambulishwa. Rais Kikwete ameahidi kuwapatia
trekta ili kuongeza tija

Mmoja wa wataalamu wa miradi akitambulishwa

Rais Kikwete akisalimiana na Mwalimu Silvanus Hosea wa shule ya Bwigiri

Rais Kikwete akisalimiana na wahandisi wa mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

Sehemu ya mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashuari ya wilaya ya Chwamwino

Wananchi
wakifurahia katika sherehe za uwekaji wa jiwwe la msingi katika mradi
wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino

Kikundi
cha utamaduni cha kinamama kikitumbuiza katika sherehe za uwekaji wa
jiwwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya
ya Chamwino

Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally akimkaribisha Rais Kikwete na ujumbe wake

Katibu tawala wa Wilaya ya Chamwino akitoa muhtasari wa mradi wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya wilaya hiyo

Mbunge
wa jimbo la Chamwino Mh. Chibulunje akizungumza katika sherehe hizo
ambapo alitangaza nia ya kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi
mkuu ujao mwakani

Rais Kikwete akimpongeza Mbunge wa Chamwino Mhe Chibuluje kwa kutangaza hadharani nia yake ya kutogombea tena nafasi hiyo

Rais Kikwete akizungumza na wananchi

Rais
Kikwete na Mbunge wa jimbo la Chamwino Mhe Chibuluje wakifunua kitambaa
kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa ofisi za
halmashauri ya wilaya ya Chamwino

Vifijo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino

Rais Kikwete akipata maelezo ya mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino

Bango la mradi

Rais Kikwete akilakiwa na walimu wa Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela alipowasili ili kuzindua maabara ya masomo ya sayansi

Rais Kikwete akikaribishwa kwa ngoma Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela alipowasili ili kuzindua maabara ya masomo ya sayansi

Mbunge
wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde Kibajaji akiongea machache wakati wa
sherehe za uzinduzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akizungumza na wananchi wakati wa sherehe za uzinduzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akizindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akiangala wanafunzi wakiwa mafunzoni baada ya kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akiangala wanafunzi wakiwa mafunzoni baada ya kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Wanafunzi wakiwa mafunzoni baada ya Rais Kikwete kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na walimu baada ya kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela

Rais Kikwete akiwasili katika Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission

Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission

Rais Kikwete akiwapa somo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission

Rais Kikwete katika picha na walimu na viongozi wa wanafunzi Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission

Rais Kikwete akiongea na wananchi baada ya kuwasili mvumi kuzindua mradi wa maji

Rais Kikwete akiongea na Mbunge wa Mtera Mhe Livingtsone Lusinde

Rais Kikwete na Mbunge wa Mtera Mhe Livingtsone Lusinde wakizindua mradi wa maji wa Mvumi

Rais Kikwete akimtwisha ndoo mmoja wa wakinama baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mvumi

Rais akilakiwa na umati wa watu alipowasili uwanja wa Mvumi kwa mkutano wa hadhara

Rais Kikwete akipokea zawadi ya mkuki na fimbo

Rais Kikwete akimshukuru Mzee Manyweke kwa zawadi

Zawadi zaidi toka kwa wazee mashuhuri wa Mvumi

Rais kikwete akipata picha ya pamoja na wazee mashuhuri wa Mvumi

Rais Kikwete akipewa zawadi ya mbuzi kutoka kwa vijana wa stendi ya basi ya Mvumi

Ngoma ya utamaduni

Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde akiongea na wananchi

Rais Kikwete akimpongeza Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde

Rais Kikwete akihutubia wananchi

Umati wa wananchi wakimsikiliza Rais Kikwete

Rais Kikwete akipeana mikono na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde

Rais Kikwete akipongezwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino

Rais Kikwete akipeana mikono na Mhe Chibuluje

Rais Kikwete akiagana na wananchi.
PICHA NA IKULU
0 Responses so far.
Post a Comment