Mrembo,
Sitti Abbas Mtemvu, akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,
Lillian Kamazima (kulia) na
Mshindi wa Tatu, Jihhan Dimachk, baada ya kutawazwa rasmi kuwa washindi
katika shindano la Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia. Mrembo huyo ambaye ni binti
wa Mbunge wa Temeke, pia ni Miss Temeke Abbas Mtemvu alitokea Kitongoji
cha Chang'ombe.
Miss
Tanzania aliemaliza muda wake,Happiness Watimanywa akimvita Crown na Taji Miss
Tanzania Sitti Mtemvu .
Warembo wakiwa katika shoo ya pamoja na vazi la ubunifu...
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na vazi la usiku...
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na vazi la usiku...
Warembo wakiwa katika show ya ufunguzi.....
Warembo wakiaga jukwaani....
Warembo wakipozi na vazi la usiku....
Jukwaa la Show....
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akijumuika na wadau wa tasnia ya urembo kushuhudia shindano hilo..
Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
Msanii akitoa burudani jukwaani....
Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
Mkurugenzi wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akiteta jambo na wasaidizi wake....
Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...Picha zote kwa hisani ya Othman Michuzi
0 Responses so far.
Post a Comment