|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Spika wa Bunge la nchi ya
Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na kufanya mazungumzomna
Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea
bunge la nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtafiti na mwanasayansi
Mtanzania wa mambo ya mawasiliano na mitandao katika Chuo Kikuu cha
Aalto cha Helsinki Dkt Edward Mutafungwa alipotembelea chuoni hapo
kujionea shughuli za chuo hicho maarufu nchini Finland |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganisha glasi na Mari Kiviniemi, Waziri wa Masuala ya Nje wa Finland wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa heshima yake jijini Helsinki
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata kuiwakilisha Finland nchini Tanzania
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
watanzania waishio Finland. Wa pili kushoto ni mwalimu wa Rais Kikwete
alipokuwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa MarjaLiisa Swantz,
ambaye ni Mfini
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyabiashara wa Finland pamoja
na washirika wao wa Tanzania baada ya mkutano wao jijini Helsinki,
Finland
|
Rais
Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo ya uzaishaji nishati
toka kwa viongozi wa kampuni ya Watsila nje kidogo ya jiji la Helsinki |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea kiwanda cha METSO
cha kutengenezea vipuli vya mitambo ya gesi na mafuta katika jiji la
Helsinki, Finland.
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mchoro kutoka kwa Msanii wa
Kimataifa wa Kitanzania aishiye Sweden Bw. Charles Njau alipomutana na
Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya
mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kipande ambaye mwaka jana alikuwa
katika timu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la
mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu. Chef Issa, ambaye pia
anaedeesha hoteli Mtwara, hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa mkubwa
kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo
ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchii Sweden jijini Helsinki
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akilakiwa na Mfalme Carl Gustav wa
16 wa Sweden katika kasri la Mfalme jijini Stockholm, Sweden
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa SIDA Bw.
Torbjorn Petterson makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden
jijini Stockholm
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyakazi wa SIDA katika makao
makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban
Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban
Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm |
|
Rais Kikwete akilakiwa na Mfalme Carl Gustav wa XVI wa Sweden katika kasri la Mfalme jijini Stockholm |
Rais Kikwete akilakiwa na Mfalme Carl Gustav wa XVI wa Sweden. PICHA NA IKULU