Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Kamishna wa
Uhamiaji George Goda alipowasili Kigamboni na mkewe mama Janeth Magufuli
kuzindua daraja la Nyerere na Jumanne Aprili 19, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Meya wa jiji la Dar es
salaam Mstahiki Isaya Charles Mwita alipowasili Kigamboni na mkewe mama
Janeth Magufuli kuzindua daraja la Nyerere na Jumanne Aprili 19, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara
Mhandisi Joseph Nyamhanga alipowasili Kigamboni na mkewe mama Janeth
Magufuli kuzindua daraja la Nyerere na Jumanne Aprili 19, 2016
JUMIA YATOA SAMSUNG S9 NA S9+ KWA WATEJA WAKE
-
Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Bw. Zadok Prescott , akimkabidhi simu ya
Samsung Galaxy S9, mteja Happiness Keto aliyoinunua simu hiyo kwa shilingi
5...