Kituo cha Uhakiki Vipimo Misugusu chaongeza uwezo
-
Misugusu sasa kuhakiki magari 60
Kituo cha Uhakiki wa Vipimo kinachomilikiwa na Wakala wa Vipimo (WMA) cha
Misugusu mkoani Pwani kimeongeza uwezo wa kuha...
2 hours ago

Mandhali ya Rungwe huwa yananiacha hoi, kama nikifanikiwa kuwa na pesa nzuri lazima nitarudi kukaa Rungwe, si nyumbani kwetu ila nimetokea kuipenda san aardhi yake, ina kila kitu!!! na bado unashangaa nchi ni maskini. OMG! Tunahitaji msaada mkubwa.