Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wakifungasha vilago baada ya kutolewa kwa tamko la kuondoka chuoni hapo baada ya mgomo wa kuingia darasani ili kuishinikiza serikali kutoa asilimia 100 kkwa hela ya field.
MAJIKO YA GESI 3,255 KUTOLEWA KWA BEI YA RUZUKU LONGIDO
-
-Wananchi wamshukuru Rais Samia
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza usambazaji wa
majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya ruzuku...
1 hour ago
0 Responses so far.
Post a Comment