Siku soko la mwanjelwa lilipokumbwa na zahama ya moto..kama ilivyo kawaida yetu...matukio ya hatari kama haya yanapotokea huwa hatubaki nyuma katika kushuhudia...ingawa ilikuwa ni usiku lakini watu kibao kutoka pande mbalimbali za jiji la mbeya walikusanyika kama unavyowaona hapa
ERIC CHELLE ATANGAZWA KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA NIGERIA
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili
kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria “The Super Eagles “.
...
1 hour ago
0 Responses so far.
Post a Comment