RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwa...
1 week ago

Huyu bwana anaitwa Laurent Desire Kabila. Mwanaharakati kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo zamani Zaire.Mwanaharakati huyu alianza harakati za kupigania haki miaka ya sitini na alifanikiwa kuudondosha Utawala wa Mobutu Sese Seko Kuku Ngubendu wa Zabanga zamani Josefu Mobutu.Mwanaharakati huyu aliuawa na mmmoja wa walinzi wake aitwaye Rashid. Mara tu baada ya kifo chake mtoto wake Joseph Kabila alitwaa madaraka ya babaye.