Wanakijiji nikumbusheni...mnyama huyu huwakilisha nnini kwenye hela yetu?
Unaweza kupagundua mahali hapa? hivi watu wa mipango miji wanajua madhara ya kuruhusu ujenzi wa namna hii?ebu wadau wasilisheni hoja maana kila nikikumbuka kile kilichotokea katika soko la mwanjerwa moyo wangu huruka kichurachura
UJENZI BWAWA LA BILIONI 2 LAKAMILIKA.
-
Wananchi wa Kata ya Majengo, Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani
Rukwa, wanatarajia kunufaika na kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la maji la
Mwamba...
12 hours ago
Aisee hiyo ni noma sasa sijui serikali hii inaongozwa vp jamani