-
Afande Sele akiwa katika pozi ndani ya gari lililokuwa likitumiwa na tour ya wanaume halisi na ndege tunduni...jamaa anatisha sana katika utunzi wa mashairi yaliyokwenda shule....Kitururu unamzungumziaje mshikaji huyu?...toa hoja
Huyu msanii mwenye kuona mbali kwa darubini kali bwana!Mashairi yake yanabeba bomba la ujumbe.