DAR ES SALAAM:WAJUMBE WA TUZO YA JAMII WATEMBELEA UKUMBI KUTAKAKOFANYIKA UTOAJI WA TUZO HIYO MWAKA HUU Ndani ya Ukumbi kutakakofanyika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Jamii Wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya Tuzo ya Jamii ndani ya ukumbi. Katibu wa Tuzo ya Jamii Amani Theophilas Mwaipaja akisisitiza jambo Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo ya Jamii DJ Malegesi akiwa na Mhandisi Sylvester Mayunga (Mjumbe) Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo ya Jamii itayotolewa Aprili 13 mwaka huu wametembelea katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Center (JNICC) ambako kutafanyika hafla ya utoaji wa Tuzo hiyo. Tuzo hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Tanzania Awards International Limited itakuwa katika kipengele cha Tuzo ya Jamii ya heshima itakayotolewa kwa Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela. Pamoja na Tuzo hiyo ya heshima pia itatolewa Tuzo ya Haki za binadamu ambapo mshindi atatangazwa siku hiyo, Tuzo kwa mwanasiasa kijana na mwanasiasa mtu mzima mwenye mafanikio katika siasa za Tanzania. Washindi wa siasa watapatikana baada ya kupigiwa kura kupitia huduma ya simu ya mkononi ya PUSH ambapo vigezo vya kutazama unapopiga kura kuwa ni pamoja na uvumilivu katika siasa ,uwezo wa kuibua na kutetea hoja ,ushiriki wake katika kutetea maslahi ya Taifa,ushiriki wake katika huduma za Jamii na Nidhamu katika shughuli zasiasa. Hii itakuwa ni mara ya Kwanza nchini Tanzania kwa Kampuni ya Tanzania Awards Internation Limited kutoa Tuzo ya Heshima kwa viongozi hao huku mgeni rasmi katika hafla hiyo akitarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Posted by MADUHU at 7:35 AM 0 comments PICHA:MWILI WA MAREHEMU ESTER MHANDO WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Mch Geogrey Mbwana akihutubia mamia ya waombolezaji Mume wa Marehemu Dr Herry Muhando wa pili toka kulia Watoto na Wajuu wa Marehemu Mhandisi Mayunga akiimbisha wimbo Mch Geofrey Mbwana akimfariji Dr Herry Mhando Mamia ya ndugu jamaa na marafiki leo walifurika kuuaga mwili wa marehemu Esta Muhando katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenge. Mwili wa Marehemu ambaye alikuwa mke wa Dr Herry Muhando umesafirishwa kwenda Hedaru ambapo mazishi yanatarajiwa kuwa kesho Februari 15 mwaka huu. Ibada ya kuuaga mwili iliendeshwa na Makamu wa Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mch Geofrey Mbwana ambaye alihimiza watu waliohudhuria kuacha alama zitakazokumbukwa hata baada ya wao kutoweka duniani kama ilivyo kwa marehemu Ester. Posted by MADUHU at 12:21 PM 3 comments KIGALI:TED WILSON AZINDUA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA CHA WAADVENTISTA WA SABATO Dr Ted Wilson akiteta jambo na Dr Blasious Ruguri Waimbaji wa Ambassadors of Christ waliimba Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika ya Kati cha Kanisa la Waadventista Wa Sabato kilichoko Gishushu,Kigali Rwanda kimezinduliwa rasmi jana na Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dr Ted Wilson akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Kanisa hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati(ECD) Ted ambaye yuko katika ziara ya kikazi katika ukanda huo aliwasili juzi mjini Kigali akitokea Juba,Sudani ya Kusini huku akitarajiwa kuelekea Uganda kabla ya kurejea Marekani yaliko makao makuu ya kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani. Posted by MADUHU at 4:14 AM 0 comments JUBA:DR TED WILSON AFUNGUA MAJENGO MAWILI YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO HUKO JUBA SUDANI YA KUSINI Nyumba ya Kulala Wageni ya ECD iliyofunguliwa Ofisini za Field za Kanisa la Waadventista Wa Sabato zilizoko Juba Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dr Ted Wilson akiwa katika ziara yake ya kutembelea nchi zilizoko katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati amezindua na kufungua majengo mawili huko Juba,Sudani ya Kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika eneo hilo. Akiwa Juba Ted Wilson amezindua na kuweka wakfu majengo mawili moja likiwa ni Ofisini za Field na Union ya Ikweta na jengo la pili ni la nyumba ya kulala wageni ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato la Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati(ECD). Posted by MADUHU at 7:57 AM 0 comments JUBA:KIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO DUNIANI TED WILSON AWASILI JUBA,SUDANI YA KUSINI Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dr Ted Wilson amewasili Juba,Sudan ya Kusini akitokea nchini Tanzania baada ya kushiriki kwenye sherehe za utume wa kanisa hilo(Mission Extravaganza) zilizofanyika kwa juma zima toka februari mosi mwaka huu na kuhitimishwa kwenye uwanja wa Taifa kuanzia Februari 4 hadi 7,mwaka huu. Ted akiwa nchini Tanzania aliongoza ibada ya siku ya Sabato ambapo alihutubia waumini wa kanisa hilo wapatao 50,000 wanaounda Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati yenye nchi 11,huku ukihudhuriwa na Makamu wa Rais Dr Mohamed Gharib Bilal ambaye alizindua mkutano huo akiwataka waumini hao kuombea taifa la Tanzania kudumisha amani,upendo na mshikamano. Mkutano huo ambao pia ulihudhuriwa na viongozi wandamizi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato toka yalipo makao makuu yake huko Washngton DC,Marekani ulishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akiufunga kwa kulipongeza na kulitaka kanisa hilo kutojiingiza katika migogoro ya aina yoyote. Ted Wilson akiwa ameambatana na viongozi wengine wa Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati aliwasili Juba na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa kanisa hilo nchini humo ikiwa ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo kutembelea nchini hiyo toka ilipojitenga na Sudani julai 9,2011. Posted by MADUHU at 3:30 AM 0 comments KARIBU RHEVAN STUDIO KWA KAZI ZA VIWANGO KARIBU RHEVAN STUDIO KWA KAZI ZA VIWANGO JIUNGE SASA NA UNIVERSAL COLLEGE OF AFRICA JIUNGE SASA NA UNIVERSAL COLLEGE OF AFRICA TRANSLATE

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

0 Responses so far.