Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akitazama sketi iliyoshonwa kwa mtindo wa vazi la asili la watu wa
Hanang wakati alipotembelea banda la Wilaya hiyo katika maonyesho
yaliyoambatana na Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini
lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye hoteli ya Mkonge Mjini Tanga
Septemba 26, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mku,
Uwezeshajina Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr.Mary Nagu,
Wapili Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa na wapili kulia ni
Mkuu wa WIlaya ya Hang, Christina Mdeme
Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini
wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano
lao kwenye hoteli ya Mkonge mjini Tanga , Septemba 26, 2013.Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu