Anaitwa Remmy Williams, Mtanzania anayefanya muziki nchini Italy. Remmy Williams amefanya nyimbo akiwashirikisha wasanii wa hapa Bongo ambao ni King Ruston, Moses Thomas& Mirror Rhymes. 

Nyimbo inaitwa AFRICA, imefanyika katika studio za Overclassic na video ya wimbo wa Africa imefanywa na  Kampuni ya E-media chini mwongozaji NIck Dizo na Sama.

Video ya wimbo wa Africa imefanywa katika viunga vya jijini Mwanza

photo

0 Responses so far.